Uainishaji wa ngeli kisemantiki

Makala hii inachunguza na kuainisha ngeli za nomino katika Ki-Micheweni. Data iliyotumika katika makala hii imekusanywa kutoka uwandani kuanzia mwezi Januari hadi Machi, Uchambuzi na uwasilishaji wa data iliyotumika katika makala hii umeongozwa na Nadharia ya Mofolojia Asilia ya Dressler Nadharia hii hubainisha viambishi awali vya nomino na dhima zake kisemantiki.

Matokeo ya uchunguzi huu yanabainisha kuwa Ki-Micheweni kina ngeli za nomino Kwa kutumia mkabala wa viambishi awali vya nomino tumeweza kuainisha kwa kutenga viambishi vya nomino vya umoja na wingi katika ngeli tofauti katika uainishaji wa msingi. Hali kadhalika, katika uainishaji mdogo wa ngeli za nomino tumeona kuwa ngeli zenye mtawanyiko ni zile zinazohusu wanyama, sehemu za mwili na vitu visivyo hisivu.

Viwakilishi (W)

Hapa tumebaini tofauti kati ya Ki-Micheweni na lugha nyingine za Kibantu. Open Journal Systems. Journal Help. User Username Password Remember me.

Notifications View Subscribe. Font Size. Abstract Makala hii inachunguza na kuainisha ngeli za nomino katika Ki-Micheweni. Full Text: pdf. Remember me.Buy high school and primary school exams with marking schemes. Eleza maana na nafasi ya mofolojia katika uchunguzi wa lugha.

Alama 25 2. Ukitoa mifano kutoka lugha ya Kiswahili, eleza kikamilifu dhana zifuatazo: a Mofu b Mofimu c Alomofu Alama 15 3. Jadili matatizo yaliyopo katika uainishaji wa kimofolojia wa ngeli za nomino za Kiswahili. Alama 15 4. Ukitoa mifano kutoka lugha ya Kiswahili, eleza kikamilifu aina zifuatazo za sentesi: a sentensi sahili b Sentensi ambatani c Sentensi changamani Alama 15 5. Andika sheria miundo virai za sentensi zifuatazo kisha uchore vielelezo vya matawi kuziwakilisha: a Msichana mrembo alipika sima b Mary wao aliimba wimbo mzuri c Susan alikwenda Kisumu kisha akaogelea ziwa Victoria Alama 15 6.

Taja na ueleze mofu na mofimu zilizomo kwenye maneno yafuatayo: a Anampenda b Tuliwaalika c Msicheze Alama Download Our Learning App. Bcb Electronic Commerce. Bcs Geo Introduction To Physical Geography.

Rel Introduction To African Religion. Bcf Financial Management. Aaf Fish Post Harvest Ii. Bcb Company Law. Bca Asset Management. Aaf Current Topics In Aquaculture. Bca Company Accounts. Geo Introduction To Human Geography. Aaf Fish Population Dynamics. Rel : Introduction To African Religion.

Geo : Geography. Szl Please Wait. Quick Links.Mgullu anafasili nomino kuwa ni maneno ambayo hutaja vitu. Ndiyo maana wanaisimu wengine wanaziita nomino majina. Kapinga anasema neno ngeli limetoka katika lugha ya kihaya likiwa na maana ya kitu au vitu.

Naye Mgullu anasema istilahi ngeli imechukuliwa kutoka lugha ya kihaya Tanzania. Anaendelea kusema kwa kuinukuu kamusi ya Kiswahili sanifu kuwa ngeli ni utaratibu wa taaluma ya sarufi ya lugha katika kupanga aina za majina nomino.

TUKI wanasema, ngeli za nomino ni kundi moja la majina yaliyo na upatanisho wa kisarufi unaofanana na viambishi vya umoja na wingi vinavyofana. Naye Massamba na wenzake wanasema ngeli ni mgawanyiko wa aina mbalimbali za nomino katika mtazamo wa kisarufi katika fikra ya viashirio vya nomino katika aina nyingine za maneno zinazo ambatana nazo.

Kwa ujumla ngeli ni aina au namna ya kuweka au kupanga au kuweka majina katika makundi yanayofanana au yanayowiana. Aidha uainishaji wa ngeli za nomino ni utaratibu au mchakato wa kupanga au kupachika aina za majina katika makundi kwa kuzingatia kuwiana au kufanana kisifa.

Kigezo cha kimofolojia ni miongoni mwa vigezo vitumikavyo katika uainishaji wa ngeli za nomino. Kigezo hiki cha kimofolojia ndicho kikongwe kabisa katika uainishaji wa ngeli na kimekitwa katika misingi mikuu miwili. Kwa mujibu wa wataalamu mbalimbali akiwamo Massamba na wenzake na kapinga kwa kuwanukuu au kuwarejelea waasisi wa kigezo hiki cha kimofolojia, Wilhem Bleek na Carl Meinhof wanabainisha msingi wa kwanza ambao ni wa kutumia viambishi vya nomino.

Katika msingi huu, jumla ya ngeli 18 kama. Msingi wa pili katika kigezo hiki cha kimofolojia ni wa jozi ya viambishi vya umoja na wingi ambao ulianzishwa na Ashton mwaka Katika msingi huu, ngeli zifuatazo zimebainishwa ambazo Ashton aliziweka katika namba za kirumi. Kigezo hiki cha kimofolojia cha uainishaji wa ngeli za nomino za Kiswahili kina ubora ufuatao.

Huwawezesha wanafunzi wa lugha ya Kiswahili kuzielewa nomino au kuzifahamu nomino pamoja na maumbo yake ya umoja na wingi. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, kigezo hiki kimekitwa katika misingi ambayo huzihusu nomino moja kwa moja. Mfano; kwa msingi wa kwanza ambao hutumia viambishi vya nomino moja kwa moja mtu anayejifunza lugha ya Kiswahili hususani wanafunzi wa kigeni huweza kuzifahamu nomino za Kiswahili.

Mfano ngeli ya kwanza humuwezesha mwanafunzi kuweza kuzitambua nomino kwa haraka anaporejelea kwenye ngeli hiyo. Hivyo, anapoona nomino hizi, haraka huweza kugundua kuwa hizi ni nomino za Kiswahili kwa kuangalia tu kiambishi cha nomino husika.

Pia katika msingi wa pili ambao huzingatia vambishi vya umoja na wingi katika nomino, humuwezesha mtu anayejifunza lugha kugundua wingi au umoja wa nomino husika kwa urahisi. Hivyo wanafunzi huweza kujifunza nomino za Kiswahili kwa urahisi. Huu ni ukweli usiotiliwa mashaka kabisa kutokana na ukweli kuwa nomino nyingi za kibantu zinaridhia pasipo na mashaka kabisa mtiririko wa ngeli hizo.

Pia kuna ngeli ambazo moja kwa moja ni za nomino za kibantu. Ubora mwingine wa kigezo hiki cha kimofolojia katika kuainisha ngeli za nomino ni kuwa, kigezo hiki ni kikongwe na ndicho cha kwanza ambacho kimekuwa ni msingi au chimbuko la vigezo vingine vya uainishaji wa ngeli za nomino za Kiswahili.

Pia ndicho kigezo cha kwanza kuzipanga au kuziainisha nomino za Kiswahili katika makundi yake mbalimbali na hivyo kuwawezesha wanafunzi wa lugha ya Kiswahili na watu wote wanaofuatilia kwa ukaribu lugha hii adimu kuweza kubaini makundi ya nomino za Kiswahili.Masters thesis, The Open University of Tanzania.

Nadharia iliyotumika katika kazi hii kuhusu uwasilishaji na uchanganuzi wa data ni ile inayohusu maumbo ya maneno katika lugha; yaani nadharia yakimofolojia. Tasnifu nzima imeundwa na sura sitae Sura ya kwanza inahusu utangulizi wa kazi nzima. Katika utangulizi, usuli wa tatizo umewekwa bayana. Dhana ya mwingiliano wa lugha imejadiliwa kwa kuhusishwa na kuingiliana kwa Kiswahili na Kiarabu, na matokeo ya kiisimu ya mwingiliano huo. Aidha dhana za mabadiliko ya lugha na uazimaji wa kileksika zimefafanuliwa kwa kuzingatia lugha hizi mbili.

Pamoja na usuli wa tatizo, sura hii pia imeonesha wazrwazi malengo ya utafiti huu, umuhimu wa utafiti, nadharia tete, maswali ya utafiti, matatizo yaliyojitokeza katika utafiti huu na mipaka ya utafiti mzima.

List of shipping agents in china

Sura ya pili imeshughulikia mapitio mbalimbali ya maandishi yanayohusu nomina za Kiswahili na Kiarabu. Katika sura hii maana na uainishaji wa nomino za Kiswahili na Kiarabu vimeelezwakwa makini. Aidha ngeli za nomino na uchanganuzi wake katika Kiswahili umewekwa bayana; ijapokuwa katika Kiarabu mfumo wa ngeli hauko wazi ama haupo kabisa kama ilivyokatika lugha ya Kiswahili. Sura ya tatu inahusu nadharia na mbinu zilizotumika katika utafiti huu. Katika sehemu hii, nadharia ya kimofolojia kwa kuzingatia uwazi na mapungufu vimeelezwa wazi.

Aidha eneo la utafiti, wahusika-lengwa, namna ya ukusanyaji wa data, muundo wa ukusanyaji wa data, mpango wa uchanganuzi wa data na zana zilizotumika katika utafiti, vyote hivyo vimefafanuliwa wazi. Kuhusu zana zilizotumika, utafiti huu umetumia uchunguzi wa maktaba, masaili na maswali ya dodoso. Sura ya nne imehusika na mambo makuu mawili; uwasilishaji na uchanganuaji wa data. Kwa kuwa nomino za Kiswahili zenye asili ya Kiarabu data zilizokusanywa ni takribani elfu moja mia tano, uwasilishaji na uchanganuzi wa data umetumia robo ya data hizo, na orodha nzima ya data hizo imeambatishwa nyuma ya tasnifu hii kama kiambatisho A na E.

Katika uwasilishaji na uchanganuzi, sura hii imeonesha nomino za Kiswahili zenye asili ya Kiarabu, nomino asilia za Kiarabu na matumizi ya nomino hizo katika lugha zote mbili. Uwasilishaji na uchanganuzi wa nomino zote zenye asili ya Kiarabu umezingatia sifa za kifonolojia, kimofolojia na kisemantiki. Aidha mpangilio wa nomino za Kiswahili zenye asili ya Kiarabu katika mfumo wa ngeli za Kiswahiliumepewa nafasi inayostahili.

Sura ya tano imejadili nadharia ya ukopaji wa kiisimu. Nadharia hii imefafanuliwa kwa kuzingatia nadharia-saidizi mbili za Uchanganuzi-linganishi na ile ya Kisaikolojia ya Mwingiliano wa Lugha.

Katika ufafanuzi zaidi, ulinganishaji na ulinganuaji wa nadharia hizi umeoneshwa wazi kwa kuzingatia mchango wa nadharia hizi na mada yetu ya utafiti. Aidha, mjadala wa nadharia hizi umefanywa kwa kuzingatia maswali ya utafiti kama yamepata majibu muafaka; na kama malengo ya utafiti yamefikiwa.

Dell xps l502x mouse button

Na hatimaye, muhtasari wa utafiti, mahitimisho yake na mapendekezo kadhaa kwa ajili ya utafiti zaidi vimetolewa katika sura ya sita na ya mwisho. Login Create Account.

Nomino za Kiarabu katika Ngeli za Kiswahili. More information and software credits. Faculty of Arts and Social Sciences. Administrator OUT.Katika muhadhara huu utajifunza dhana ya sentensi, aina za sentensi kwa kutumia kigezo cha uamilifu na kigezo cha miundo.

Dhana ya sentensi kama inavyojulikana na Wanaisimu kadhaa ni kama ifuatavyo:. Maneno ni baadhi tu ya vipashio vinavyounda sentensi. Katika Kiswahili au katika lugha kwa jumla, vipashio hivyo hujiweka katika mpangilio maalumu. Mpangilio huo wa vipashio, ndio unaomfanya mzungumzaji wa Kiswahili atambue mara moja dosari za mzungumzaji mwenzake mara inapotokea.

Mpangilio huo wa vipashio, aghalabu ni wa maneno. Maneno hayo yana tabia asilia za kutenda kazi katika sentensi mbalimbali.

Sentensi huweza kuainishwa kwa kutumia vigezo mbalimbali. Tutavijadili vigezo hivi hapa chini kama ifuatavyo:. Katika kigezo hiki sentensi huainishwa ka kuzingatia uamilifu wake hususan ujumbe uliobebwa na sentensi hiyo au unaowasilishwa. Kigezo hiki kilitumiwa sana na wanamapokeo. Kwa hiyo, kwa kuzingatia kigezo cha kisemantiki, sentensi huweza kuainishwa katika kategoria zifuatazo:.

React wait for promise

Uainishaji wa sentensi kimuundo huzingatia muundo wa sentensi hususan muundo wa vipashio vilivyounda sentensi na mahusiano ya vipashio hivyo. Vishazi hivi haviunganishwi na viunganishi. Sifa muhimu ya sentensi hizi ni matumizi ya viambishi rejeshi amba- -o- au —ye-Rejea mifano ifuatayo:.

Pia huweza kuundwa na vishazi tegemezi viwili vinavyokamilishana. Rejea mifano ifuatayo:. Sentensi hizo huunganishwa na viunganishi kama: lakini, na, ingawa, tena, ila, wala, n.

Sentensi ambatano hutumia viunganishi au vihusishi kama vile pia,na, ingawa, badala ya, baada n. Vilevile huweza kuunganishwa na alama ya mkato au nukta mkato. Swala tungo na aina zake si swala rahisi kama wengi wanavyoliona na ni vigumu kubainisha mipaka kati ya tungo moja na nyingine. Share this! Mifano ya sentensi za aina hii ni kama ifuatavyo: a Naibu waziri atahutubia wananchi saa nane mchana.

K wanaziita sentensi agizi. Sentensi hizi kwa kawaida huwa hazina kiima na huwa na lengo la kuamuru tendo fulani lifanywe.

Huundwa na kitenzi cha kuamuru. Sentensi hizi huishia na alama ya mshangao kama ifuatavyo: a Ondoka! K wanaziita sentensi ulizi. Sentensi hizi uamilifu wake ni kuuliza. Kwa kawaida sentensi hizi huwa na pengo la taarifa linalohitaji kujazwa na taarifa fulani na hutambulishwa kwa uwepo wa alama ya kuuliza.

Mifano ya sentensi hizi ni kama ifuatavyo: a Karamagi naye kajiuzulu? Sentensi mshangao: hizi ni sentensi zinazooyesha kushangazwa kwa msemaji na tukio fulani. Ni sentensi za kitashititi ambazo huweza kuuliza swali ambalo jibu lake linafahamika: a Baba kafariki kweli? Sentensi shurutia: hizi ni sentensi zenye kuonyesha masharti ambazo huundwa na vitenzi viwili.

Kitenzi cha kwanza hukamilishwa na kitenzi cha pili ili kuonyesha uhusiano wa mashati. Vitenzi hivyo huambikwa viambishi vya masharti.Chapisha Maoni. Ni namna ya kuweka majina katika makundi yanayofanana. Majina ya Kiswahili yanaweza kuwekwa katika makundi mbalimbali.

Dorchester county narcotics task force

Kimofolojia: Katika kigezo hiki wanaisimu wameyapanga majina kulingana na alomofu za umoja na uwingi za majina hayo. Huu ni mtazamo mkongwe ambao uliofuatwa na wanasarufi wa kimapokeo wakiongozwa na Meinholf, Broomfield na Ashton mnamo miaka ya — Uchambuzi ulikua kama ifuatavyo Majina ya viumbe vyenye uhai. Majina ya mimea. Majina ya vitu yanayoanza na ki - umoja na v i- wingi. Majina ya viumbe yanayoambishwa na ch- umoja na vy -uwingi. Majina yanayoanza na ji - umoja na ma - uwingi. Majina ya mkopo yenye ma- wingi.

Mfano; Bwana — Ma bwana, Shati — Ma shati. Majina yenye kueleza dhanna ya wingi japokuwa hayahesabiki. Maji, Majani, Maua, Maini. Majina ambayo huanza na N inayofuatwa na konsonanti, ch- d. Majina yanayoanza na mb-mv.

Mfano; Mbwa, Mvi. Majina ya mkopo. Mfano; Taa, redio, Kompyuta, Kalamu. Majina yote yanayoanza na U umoja na N-mb wingi. Majina yote yanayoanza na u umoja na ma - wingi.

Majina yanayotokana na vitenzi yanayoanza na ku- vitenzi-jina. Mfano; kucheza, Kulima, Kuimba, Kupenda. Huonesha mahali hasa. Mfano; Pale. Huonesha mahali pa ndani.

Nomino za Kiarabu katika Ngeli za Kiswahili

Mfano; Mule. Huonesha mahali pa mbali, pakubwa zaidi au popote. Mfano; Kule. Uwezekano wa kuzigawa nomino nyingi za Kiswahili ni mkubwa kwa kuwa nyingi zimegawanyika katika maumbo hayo ya umojha na uwingi. Ni kigezo muhimu kwani kinajikita zaidi katika nomino na kivumishi chake peke yake hakigusi aina nyingine ya neno tofauti na kigeso cha kisintaksia ambacho hugusa hadi kitenzi. Huwasaidia wanasarufi linganishi kuonesha uhusiano wa lugha za vikoa kimoja.

Kuna viambishi katika ngeli tofauti vinavyofanana. Mfano Kiambishi M- kinajitokeza katika ngeli ya 1 na 3 na MA- inajitokeza katika ngeli ya 8 na Kuna nomino nyingine ambazo hazijidhihirishi katika umoja na uwingi. Mfano ngeli ya 8 na 9. Huu ni mtazamo wa kisasa wa uainishaji wa ngeli ambao umeyagawa majina katika makundi kulingana na upatanisho wa kisarufi kat ya jina na viambishi awali vilivyo katika vitenzi.

Kwa mujibu wa mtazamo huu, majina yamepangwa katika makundi tisa ambayo ni A -WA.To browse Academia. Skip to main content. Log In Sign Up. Omukabe wa Omukabe. Sintaksia inarejelea jinsi maneno yanavyoungana na kuhusiana ili kuunda sentensi zenye maana. Kwa hivyo, uainishaji wa nomina za Kiswahili kwa kuangalia kigezo cha kisintaksia hufanywa kwa kuzingatia namna vipashio mbalimbali katika sentensi vinavyochukuana na kukubaliana.

Hali hii ndiyo huitwa upatanisho wa kisarufi Welmers, ; Habwe na Karanja, Uhusiano wa nomino na maneno mengine katika tungo ndio unaosisitizwa. Katika lugha ya Kiswahili, uainishaji wa kisintaksia hutumia vipatanishi vya nomino na ,maneno Vipatanishi ni maumbo maalum ambayo huwekwa katika maneno mengine wakati nomino fulani inapozungumziwa.

Vipatanishi hivi huwekwa hasa katika aina zingine za maneno kama vile, vitenzi, vivumishi na viwakilishi. Vipatanishi huhusisha angalau maneno mawili kama vile, nomino na vivumishi au viwakilishi au hata nomino na kitenzi Mgul1u, Kimsingi, muundo wa sentensi za Kiswahili hutawaliwa na nomino Krapf Katika kigezo cha kisintaksia kinachoangaliwa ni jinsi nomino inavyoathiri elementi nyingine katika sentensi.

Baada ya kuona kwamba utaratibu wa kutumia jozi za umoja na wingi katika kuziainisha ngeli ulikuwa na matatizo, Kapinga aliamua kutumia msingi wa kiambishi cha upatanishi wa kisarufi. Kiambishi cha upatanishi wa kisarufi kilichotumika ni kile ambacho huambishwa kwenye kitenzi. Nomino zote zinazochukua viwakilishi nafsi vya namna moja katika vitenzi huunda ngeli moja. Wanaisimu wengine walioainisha ngeli za nomino wakitumia upatanisho wa kisarufi ni pamoja na NkweraMbaabuMgulluWaihiga na Mohammed Ijapokuwa wanatumia kigezo cha kisintaksia katika uainishaji wa nomino, wanatofautiana hapa na pale.

Kama ilivyodokezwa hapo awali, mitalaa ya zamani iliyotumika shuleni ilijihusisha zaidi na maswala ya kisemantiki na kimofolojia katika ufunzaji ngeli. Kuna mipangilio kadhaa inayosisitiza maswala ya kisintaksia. Katika sehemu hii nitaonyesha mipangilio iliyoonyeshwa na NkweraKapinga na Mbaabu Ingawa wanaisimu hawa wametumia kiambishi cha upatanisho wa kisarufi baina ya nomino na kitenzi au nomino na kionyeshi, wana miundo tofauti.

Kapinga ana muundo ufuatao. Anaeleza kuwa, mpangilio huu pia unaweza kutumia njia zingine tofauti kama vile vivumishi na umilikaji.

Kulingana na Mbaabu matumizi ya vionyeshi yanawezekana kwa sababu nomino zote za ngeli moja hutumia vionyeshi vya aina moja. Kadhalika, ametumia dhana za kimaana kupata makundi mbalimbali.